Ngeli hii hujumuisha nomino za aina mbili.
Umoja na wingi
- Wema huu ulimfaidi. Wema huu uliwafaidi.
- Ujanja huo ulimponya. Ujanja huo uliwaponya.
- Unga ule ulikuwa mweupe. Unga ule ulikuwa mweupe
Vivumishi -Vivumishi vya ngeli hii ni sawa na vile vya ngeli ya U - ZI (hali ya umoja).
i) Wino wangu umemwagika. - Wino wetu umemwangika.
ii) Uhuru wa nchi hii umekomaa. - Uhuru wa nchi hizi umekomaa.
i) Uji uliomshibisha mtoto ni huo. - Uji uliowashibisha watoto ni huo
ii) Ukimwi ambao unamwangamiza mtu ni hatari. - Ukimwi ambao unawaangamiza watu ni hatari.
i) Upupu wa hapa uliniwasha. - Upupu wa hapa ulituwasha.
ii) Upanzi wa mti ni jukumu muhimu. - Upanzi wa miti ni majukumu muhimu.
i) Ujanja wenye wasiwasi uwache. - Ujanja wenye wasiwasi mwache.
ii) Ugoro wenyewe umeniudhi. - Ugoro wenyewe umetuudhi
i) Wasiwasi wake wote umeisha. - Wasiwasi wao wote umeisha.
ii) Wizi wowote hauna nafasi kwangu. - Wizi wowote hauna nafasi kwetu.
i) Unga wangu mweupe si mweupe. - Unga wetu mweupe si mweusi.
ii) Uyoga mwembamba ni wako. - Uyoga mwembamba ni wetu.