- 'na' hutumiwa kutolea maana mbalimbali katika sentensi. Kwa mfano,
1. Tunasoma kwa bidii.
2. Mnaandika vizuri.
1. Juma na Fatuma ni wanafunzi hodari.
2. Kiswahili Teule na Uhondo wa Kiswahili ni vitabu vizuri.
1. Wao husaidiana kazini.
2. Sisi tunapendana sana.
1. Chakula kilipikwa na shangazi.
2. Majeruhi walisaidiwa na wasamaria wema.
1. Tuna vifaa vipya.
2. Ana kofia pana.
Nao waliamua kuondoka.
Naye alifurahia mwaliko huo.
1. Mwalimu ana furaha.
2. Mwanafunzi ana bidii.
1. Nguo nazo ni safi.
2. Huko nako ni safi.
Zoezi
Chagua jibu sahihi la kuzikamilisha sentenzi hizi.
1. Kiatu ____ (nayo, nawe, nacho, nako) huvai kwa nini?
2. Mayai ____ (nazo,nayo, naye,nao) hutagwa na batamzinga.
3. Jua _____ (nayo, nalo, nacho, nao) huwaka sana siku hizi.
4. Likizo ____ (nalo, nayo, nacho, naye) tumeanza leo.
5. Maiti ____ (naye, nayo, nazo, nawo) huzikwa kwa heshima.
6. Viumbe ____ (nao.nazo, nzvyo, naye) ni mali ya mungu.
7. Chumvi _____ (navyo, nacho, nazo, nao) hupatikana kila bahari.
8. Tabasamu ____ (nayo, nalo,nako, nacho) hufurahisha moyo.
9. Vita ____ (nayo,nazo, navyo, napo) huleta hasara kubwa.
10. Kuoga _____ (nayo,nalo,nazo, nako) hufaa kila siku.