Kulingana na nyakati, kirejelei kinaweza kutumika katikati ya kiarifu au mwishoni mwa kiarifa. k.m.
Mtoto anayecheza (wakati uliopo).
Mtoto atakayecheza (wakati ujao).
Mtoto achezaye (wakati wa mazoea).
Kiambishi na kirejelei cha mwisho hutegemea mambo mawili:
Tazama mifano hii