Hutumika kuonyeshea hisia za mzungumzaji k.v. furaha, mshangao, majonzi, hasira n.k.
Mfano: Kumbe alikuwa mgonjwa!
"Niondoke haraka" Mama alimkaripia mtoto.