Nukta na koma
Nukta na koma ( ; )
Hutumika:
- Kutenganisha sehemu kuu ya sentensi. k.m. Nilipozinduka, nilimsikia jirani yangu akipiga kamsa; yawezekana alikuwa katika hatari fulani.
- Kutenga sentensi ndefu. Kadzo alimpelekea vitu vya thamani si hafifu; kama angevikosa bila shaka angenung'unika.