Nafasi
Kuacha nafasi ya kutosha baina ya neno moja hadi lingine.
Kamwe tusishikanishe maneno yasiyostahili wala tusikate maneno yasiyostahili. k.m
- Makau ame enda nyumbani – Makau ameenda nyumbani.
- Shisia na Alele ndiowerevu – Shisia na Alele ndio werevu.