Aina za insha
- Katika mfumo wa 8-4-4, kufikia darasa la nane, mwanafunzi anastahili kuwa amejua kuandika insha mbalimbali kama vile:
- Insha za mada teule
- Insha za hotuba
- Insha za mjadala
- Insha za picha
- Insha za mazungumzo
- Insha za barua
- Insha za kumbukumbu