6
Insha ni mtungo ulioandikwa kwa lugha ya mjazo kuhusu kitu, mtu au tukio fulani kwa kueleza ujumbe fulani.
Andika insha Kuhusu faida za miti
Vidokezo Faida za miti
1. Huvuta mvua

2. Makao ya viumbe

3. Huzaa chakula

4. Hujengea

5. Kutengeneza samani

6. Dandalo za umeme na simu

7. Kivuli na dawa

8. Kusafisha hewa

9. Kuni na makaa

10. Kuchongea vinyago

11.Kuboresha mandhari ya nchi

12. Kutengeneza karatasi
