KISA CHA MZEE UBOGA by
Kwenye kifungu tutakumbana na aina mbalimbali ya mavuno kama vile:
Maharagwe
Mihogo
Viazimbatata
Viazivikuu
Katika vikundi mjadili vifaa halisi mlivyo oneshwa awali.
Kujadili
Soma kwa sauti kisa cha Mzee Uboga.
Maswali
- Mzee Uboga aliishi wapi?
- Mzee Uboga alijulikanaje?
- Mzee Uboga alipendelea chakula kipi zaidi?
- Makao mapya ya Mzee Uboga yalikuwa wapi?
- Kwa nini mlinzi wa usiku hakuweza kumwona Mzee Uboga hata siku moja?
- Kwa nini mlinzi akataja methali kosa Mona haliachishi mke?
- Jamii ya mlinzi ilikuwa ya watu wangapi?
Majibu
◆Kijiji cha Muruguru
◆Mzee mkali
◆Viazi vikuu
◆Shimoni katika shamba lake.
◆Alifika shambani kabla ya wakati wa mlinzi kushika zamu.
◆Alitaka ahurumiwe
◆Sita