Ufahamu; Jamhuri dei by
firstname lastname
6
Siku ya Jamhuri
Siku ya Jamhuri ni siku ambayo taifa la Kenya lilipopata uhuru kutoka kwa uongozi wa waingereza mnamo mwaka wa elfu moja mia tisa sitini na nne. Huu ndio wakati Taifa la Kenya lilipojinasua kutokana na sheria za waingereza na kuanza kukuza utamaduni wake,tujuavyo"mwacha mila ni mtumwa".
Sherehe hii huandaliwa katika uwanja mkubwa kwa sababu ya umati wa watu unaohudhuria sherehe ya Jamhuri. Katika taifa letu sherehe hufanyika katika uwanja wa Nyayo.Wafanyi kazi wote wa serikali kama walimu,madktari,wafanyi kazi katika wizara mbalimbali na wengineo
Tunaposherehekea siku hii tunawakumbuka mashujaa wetuwaliopigania uhuru Na hao ni Bildad Kagia,Kung'u Karumba,Jomo Kenyatta,Fred kubai,Paul Ngeina Achieng Oneko.
Siku hiyo tunakuwa na watumbuizaji mbalimbali kutoka jamii zote za taifa letu.
Wasanii,waimbaji wanyimboza Injili na masogora pia hupata muda wakukuza vipawa vyao
- Raisi wa Jamhuri hukagua gwaride huku watu wote na wanajeshi wetu wakisimama wima na kuwapa idhini wanajeshi kupandisha bendera.
- Kisha wanaimba wimbo wa taifa ambao ni maombi kwa Jalali.
Baada ya hayo yote raisi wataifa husimama na kutoa hotuba kwa wananchi wake.
Zoezi
1.Siku ya Jamhuri husherehekewa lini?
- wakati wowote
- tarehe moja mwezi watano
- tarehe kumi na mbili Disemba
- tarehe ishirini Oktoba
2.Kulingana na ufahamu ni akina nani husherehekea Jamhuri?
- Walimu pekee
- Madaktar ipekee
- Wafanyikaz iwa serikali wote
- Raisi wa Jamhuri
3.Kwa nini tunasherehekea Jamhuri?
- kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu
- kukumbuka wasanii na kina sogora
- kukumbuka waingereza
- kukumbuka siku taifa letu lilipopata uhuru
Kukumbuka siku taifa letu lilipopata uhuru.
4.Mkaguzi wa wanajeshi ni nani?
- waigizaji
- raisi
- mhubiri
- mwalimu
(c)Wafanyikazi wa serikali wote.
6
Raisi
5.Kulingana na ufahamu sogora ni nani?
- mwimbaji
- mchezaji ngoma hodari
- mwalimu
- raisi
Mchezaji ngoma hodari
6.Ni neno gani lina maana sawa na umati wa watu.
- thurea watu
- halaiki ya watu
- Punda la watu
- Mlolongo wa watu
Halaiki ya watu
7.Toa maana yanenoidhini.
- ruhusa
- msamaha
- furaha
- heshima
ruhusa
8.Ni akina nani walipiganiauhuru wa nchi?
- mashujaa
- waingereza
- raisi
- wahubiri
6
9.Watumbuizaji ni kina nani kulingana na ufahamu.
- Wasanii,walimu na madaktari.
- sogora,wasanii na waigizaji.
- waigizaji,wezi na sogora.
- madaktari,mawaziri na wasanii.
sogora,waigizaji na wasanii.