Teknolojia

- Teknolojia ni maarifa ya ujuzi wa kisayansi unaotumika katika vitu kama vile zana au mitambo.

- Mnamo miaka ya hivi majuzi, teknolojia imekuwa kwa mapana na marefu.

- Nyanja nyingi k.v. kilimo, viwanda, ufundi na hata mawasiliano zimenufaika kutokana na teknolojia.

- Hata hivyo, kama wahenga walivyonena hakuna masika yasiyokuwa na mbu.

- Teknolojia inazo athari mbaya.

- Katika nyanja za mawasiliano, teknolojia imepiga hatua kubwa.

- Vifuatavyo ni vifaa na pia njia za mawasiliano ya kisasa.

Aina za teknolojia

Kitenzambali

Kiyuweo, au kipakatalishi (laptop)

Rununu - simu ya mkono



  • Tarakilishi by Triposoft used under CC_BY-SA
  • K.4.42.2 by https://en.wikipedia.org/wiki/Communication & eLimu used under CC_BY-SA
  • kikokotozi by www.tradeindia.com & eLimu used under CC_BY-SA
  • kitenzambali by http://www.express.co.uk/news/uk/420177/Armed-police-storm-house-to-arrest-man-holding-a-TV-remote & eLimu used under CC_BY-SA
  • kiyuweo by www.newtimes.co.rw/section/article/2016-05-12/199796/ used under CC_BY-SA
  • Rununu by www.colecommunity.com › Buddy's Blog & eLimu used under CC_BY-SA
  • vitambazo by http://www.dhgate.com/online-shopping/industrial-handheld-scanners-online.html & eLimu used under CC_BY-SA
  • runinga by www.imagui.com/a/dibujo-de-la-television-iMdXKjgR6 & eLimu used under CC_BY-SA
  • tepurekoda by www.oneinchpunch.net/.../astonishing-graphic-renderings-with-adobe-illu... & eLimu used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.