Maswali kadirifu
A. Taja rangi ya vitu vifuatavyo.
- chai ya mkandaa
- ini
- limau bivu
- mawingu
- mbingu bila mawingu
- mvi
- ngeu
- umbijani
- dhahabu
- masizi
B. Sehemu (i)
Hizi ni rangi gani?
- madharani
- samawati
- feruzi
- samli au siagi
- zambarau nyeupe
- damu ya mzee
- chanikiwiti
- bitimarembo
- buluu kolevu
- sorangi
Sehemu (ii)
Chora upinde wa mvua na utaje rangi zote.