Rangi
- Rangi ni ule ubainifu au ujuaji wa miale ya mwangaza inapoingia katika kitu fulani.
Kunazo rangi za kila aina, mifano;
- nyeusi
- nili
- nyeupe
- hudhurungi/kahawia
- manjano
- rangi ya dhahabu (zari)
- samawati/samawi
- nyekundu
- kijani kibichi
- zambarau mbivu
- rangi ya fedha
- kijivu
- buluu
- rangi ya machungwa
Aina za Rangi.
B. Taja vitu mbalimbali vilivyo na rangi zifuatazo.
1. Manjano
2. Machungwa
3. Maji ya kunde
4. Dhahabu
5. Nyeusi.