Utangulizi |
---|
Mifugo |
Wanyamapori |
Viumbe vya majini |
Ndege/Nyuni |
Maswali kadirifu |
1. Mbuzi - Ni mnyama afuguaye anayefanana na swara.
2. Ng’ombe - Ni mnyama afuguaye lakini mdogo anayefanana na nyati ambaye ana faida kadha kama nnyama, maziwa na ngozi.
3. Kondoo - Mmyama wa kufuga anayefanana na mbuzi, mwenye tabia ya upole, manyoya mengi na marefu na mkia mnene mwenye mafuta mengi.
4. Nguruwe - Mmnyama mnene na mfupi afuguaye mwenye pua kubwa na ndefu, miguu mifupi na mkia mfupi ambaye waislamu hawali nyama yake kwa kuwa ni haramu.
5. Punda - Ni mnyama afuguaye wa jamii ya farasi mwenye rangi ya kijivu, lakini mdogo kuliko farasi na hutumiwa kuvuta mkokoteni au kubeba mizigo.
6. Mbwa - Ni mnyama afuguaye na binadamu ambaye hulinda boma au kumsaidi kuwinda wanyama mwitu.
7. Paka - Ni mnyama afuguaye anayependa kula panya.
8. Farasi - Ni mnyama wa jamii ya punda anayefugwa mwenye singa shingoni na mkia, ambaye hutumika kubeba watu na kukokota magari.